Hii ni Hoteli ya kwanza katika bara la Afrika kujengwa chini ya Bahari, hoteli hii ina hadhi ya nyota tano (50 na inapati kana Tanzania Katika visiwa vya Zanzibar.
sehemu ya hoteli hii inaelea juu ya bahari na sehemu nyingine iko chini ya bahari.
Sehemu ilioko chini ya bahari ni ile ya vyumba mba iliobaki juu ni ile yenye sehemu za kupumzikia huku ulila upepo mwanana.
Sehemu hii ya vyumba huwafanya wageni kulala ndani kabisa ya bahari na huku wakishuhudia Samaki wa aina tofautitofauti wakipita na kuwazunguuka kila upande. Wenyewe husema kuwa hulala na Samaki.
Endelea kufuatilia modesigntz ili upate habari momtomoto beste wangu wa ukweli, na mimi nitakusogezea kila habari inayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.