Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

TAZAMA BATA ZA DIAMOND NA ZARI ZANZIBAR KATIKA SIKU YA VALENTINE DAY



Tazama picha hizi zikimuonesha mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz alivyompeleka Mpenzi wake Zarina Hassan (Zari the boss Lady) katika visiwa vya zanzibar katika siku ya wapendanao.
Diamond Platinumz aliamua kumfanya zari akaonje na kupata upepo mwanana unaoenda sambamb
a na harufu ya karafuu kwani ndo mara ya kwanza kwa mpenzi wake huyu kutia maguu katika visiwa hivyo. nikama alitaka kumuonesha uzuri wa Zanzibar kwani alimtembeza sehemu mbalimbali katika visiwa hivyo.

TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA








Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuwekea kila stori inayonifikia.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top