Hii ishu ya mgomo wa mabasi ya abiria tangu mwaka 2015 umeanza imegonga vichwa vya habari kwa mara ya pili.. mara ya kwanza ilikuwa April 2015, lakini ukaisha baada ya kama saa 7 hivi kupita.
Leo tena hali ikawa kama jana, daladala na mabasi makubwa ya kwenda mikoani yote yaliendeleza mgomo.. ikafika saa sita mchana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na Kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakaongea na viongozi wa Chama cha Madereva wakakubaliana na baadae mgomo ukaisha mabasi yakaanza safari.
Jahazi limeokole
wa na viongozi hawa ambapo DC Makonda amewaahidi kwamba ameunda Tume ambayo itakutana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kupata tamko la Serikali kuhusu madai ya madereva hao, na majibu yatapatikana kesho asubuhi kutoka Serikalini.
Huu ndio uliokuwa usafiri katika kipindi chote cha mgomo madereva |
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.