Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

UKWELI KUHUSU TAARIFA ZA KIPRE TCHETCHE WA AZAM KUSINI OMAN...

Baada ya kuenea kwa habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Azam FC Kipre Tchetche kuripotiwa kusaini klabu ya Nahda Al-Buraimi ya Oman, afisa mtendaji mkuu wa klabu hiyo Saad Kawemba ameeleza ukweli na kuwatoa hofu mashabiki walioshtushwa na habari hizo.
C.E.O wa Azam FC Saad Kawemba kaeleza kuwa hizo ni habari za uzushi za kuwa nyota wao amesaini Nahda Al-Buraimi ya Oman, kwani bado ana mkataba na Azam FC ndio maana hata vyombo vya habari vinaripoti kuwa anaomba akapate changamoto mpya kwa maana ana mkataba na Azam FC.
12998153_1164821906891497_8966146697048225476_o-800x546
Kipre ni mchezaji wetu ambae ni muhimu huwezi kumruhusu amalize msimu aende mapumziko akiwa hana mkataba, kwa hiyo tuna mkataba ambao ni endelevu, nadhani ndio maana ukasikia wanasema anaomba akapate changamoto sehemu nyingine, ukweli ni kuwa mchezaji kama ana mkataba ni makubaliano umuuze au anunue mkataba”

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top