Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ... MENO YA DHAHABU...

Unapokuwa na pesa unaweza kufanya kila kitu ukipendacho na kwa wakati uupendao, bila kujali jamii itazungumza nini kuhusu nini unafanya, ili mradi pesa zako zimekutuma kufanya kile ambacho toho yako imependa ukifanye.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz sasa anamuonekano mpya, na hii yote ni jeuri ya pesa yake anayoimiliki. mtu anaweza kusema ni muonekano mbata lakini ni wenye thamani kubwa.
ukimuangalia mdomoni utaona hayo mabadiliko ambapo sasa meno yake karibia yote ya chini ni dhahabu tupu.
Lakini pia Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top