Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MOHAMMED ALI KUZIKWA KISHUJAA LEO... AGIZO ALILOACHA LATEKELEZWA...


Muhammad Ali
LOUISVILLE, Marekani
GWIJI wa ndondi duniani, Muhammad Ali, anatarajiwa kuingizwa kwenye nyumba yake ya milele kwa heshima kubwa leo Ijumaa baada ya sala maalum ya Kiislam huko Louisville, Kentucky, Marekani.
Ratiba ya sara za mazishi, ilianza juzi Jumatano na jana zaidi ya watu 14,000 kuzikwa kishujaa leo waliungana kuomboleza kwa sala katika ibada iliyorushwa moja kwa moja kwenye televisheni.
Ali, alifariki dunia Ijumaa iliyopita akiwa na umri wa miaka 74 baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa Parkinson ambao unashambulia mfumo wa seli. Mazishi yake leo yanatarajiwa kushirikisha wawakilishi kutoka dini mbalimbali wakiwemo Wayahudi na Wakristo.
Ali, alianza kupanga jinsi mazishi yake yatakavyokuwa mwaka mmoja uliopita na akasisitiza yawe huru kwa kila mmoja anayetaka kuhudhuria, afanye hivyo bure, familia imethibitisha. Ali ameacha mke na watoto tisa

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top