Baada ya majadiliano hayo, Rais wa TFF Jamal Malinzi amekubali kamati ya uchaguzi ya Yanga kuendelea na uchaguzi wao kama kawaida, ila kamati ya uchaguzi ya TFF itakuwepo tu kwa uangalizi wa uchaguzi huo utakaofanyika June 11 2016.
Jamal Malinzi
Maamuzi hayo yanaafikiwa ikiwa ni siku chache zimepita toka uongozi wa Yanga, utangaze kuandaa uchaguzi wao, wakati ambao kamati ya uchaguzi ya TFF ilikuwa imeandaa uchaguzi wa Yanga na wao walikuwa wafanye uchaguzi huo June 25 ila kwa sasa baada ya kuafikiana uchaguzi wa Yanga utafanyika June 11 kama walivyokuwa wamepanga
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.