Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

WAKO HAPA BAADHI YA WASANII WALIOPEWA HESHIMA YA KUUBEBA MWILI WA MUHAMMED ALI...

_89900112_lewis_ali_getty
Kutoka kushoto ni Lennox Lewis alipokabidhiwa tuzo yake ya mwanamichezo bora wa mwaka wa BBC na Muhammad Ali alipopewa tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa karne 1999
Bondia wa zamani wa uzito wa juu Lennox Lewis ambaye amewahi kushinda mwanamichezo bora wa mwaka BBC 1999 pamoja na Muhammad Ali aliyepewa tuzo ya mwamichezo bora wa karne, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaobeba jeneza la Muhammad Ali.
_89899926_smith_ali_getty
Kutoka kushoto ni Muhammad Ali enzi za uhai wake na Will Smith
Msanii Will Smith pia ni moja kati ya mastaa hao waliotajwa kupewa nafasi hiyo ya kubeba jeneza la Muhammad Ali.
Muhammad Ali alifariki Ijumaa iliyopita katika hospitali ya Phoenix Arizona akiwa na umri wa miaka 74, lakini taarifa zaidi zinaeleza kuwa atazikwa nyumbani kwao Louisville Kentucky.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top