Kikosi cha klabu ya mpira wa miguu cha Dar es Salaam Young Africans June 12 kilisafiri kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya muda kuelekea mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Mo Bejaia ya nchi Algeria
utakaochezwa June 20 2016 Algeria.
Dar es Salaam Young African (Yanga) wamewasili salama nchini Uturuki na kuanza kufanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo, Yanga wapo katika Kundi A lenye timu za TP Mazembe ya Kongo, MO Bejaia ya Algeria na Medeama ya Ghana.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.