June 12 2016 Wamarekani waliamka na habari za kushtukiza sana ambapo mauaji makubwa zaidi yametokea nchini humo baada ya kijana Omar Saddiqui Mateen mwenye miaka 29 kuingia club moja jimboni Florida na kufyatua risasi ambazo zilisababisha mauaji ya watu wasiopungua 50.
Taarifa zinasema kwamba kulikuwa na takribani watu 320 ndani ya klabu hiyo wakati tukio hilo linatokea na watu wengine kama 100 walichukuliwa mateka, habari zina sema kuwa kijana huyo aliyefanya shambulio hilo, Mateen, alipigwa risasi na maafisa na kufariki.
Mtuhumiwa wa mauaji hayo Omar Mateen
.
.
.
.
.
.
.
.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.