
Alhamisi ya August 18 2016 naomba nikuletee video ya miji waliokulia mastaa 15 wa dunia ambao wengi wetu tumezoea kuwaona katika mafanikio yao katika vilabu vya Ulaya.
Leo naomba nikuletee miji ya mastaa wa soka kama Lionel Messi aliyezaliwa Rosario Argentina, Zlatan Ibrahimovic aliyekulia Malmo Sweden, wengi wao tumewahi kusikia historia zao kuwa hawakutokea katika familia zenye maisha mazuri ila video inaonesha mitaa yao ilivyokuwa kwa sasa na baadhi zamani pia
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.