
Wakazi wa Mtaa wa Mwembeni Manzese Tiptop jijini Dar es Salaam wameamua kukusanya taka katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mwembeni baada ya serikali hiyo kushindwa kuzoa taka hizo kwa muda wa Mwezi mmoja.
Wakizungumza na MO Design Tv wananchi hao wamesema kuwa viongozi wa serikali wamekuwa na kawaida ya kukusanya Ushuru wa taka kwa kila nyumba pasipo kuzoa taka hizo kwa wakati.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.