Staa na mkali wa Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’ amethibitishwa na Clouds Media Group kupitia akaunti yao ya twitter kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii. Itakuwa mara ya pili muimbaji huyo kuja Tanzania mwaka jana alitumbuiza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
so wapenzi wa mwanamziki huyo mwenye mbwembwe kama za Diamond mjiandae kumshuhudia live akitumbwiza jukwaani
so wapenzi wa mwanamziki huyo mwenye mbwembwe kama za Diamond mjiandae kumshuhudia live akitumbwiza jukwaani
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.