
Ni mwimbaji mwingine staa wa bongo fleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi pamoja na ukali wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu‘ April 2016.
Anazo sifa nyingine za uchapakazi pia na ndio maana leo anafurahia mafanikio/hatua yake kwa kipindi hiko kifupi ambapo aliweka picha ya nyumba na gari lake na kuandika ‘Daaah eti na mimi leo naingia kwangu, kweli Mungu hana upendeleo (swala la nyumba na gari mimi………. )


BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.