Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBIZA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 2017...

Staa wa Bongo Flava na Rais wa Wasafi,  Diamond Platnumz.
Staa wa Bongo Flava na Rais wa Wasafi,  Diamond Platnumz,  siku chache baada ya kutumbuiza kwa ustadi mkubwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jijini Abuja nchini Nigeria, amealikwa  tena kutumbuiza kwenye ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 (AFCON 2017), Januari 14 nchini Gabon.
Staa huyo amewapa habari njema mashabiki wake kupitia mitandao ya Twitter na Instagram, kwa kupost taarifa ya shoo yake hiyo iliyowekwa kwenye akaunti maalum ya AFCON 2017.

“GABON!!! You know we gat to make a World History on the 14th January right?? See you this this Coming Weekend then… #WcbWasafi” aliandika.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top