Taarifa ambazo tumezipata kutoka Mkoani Tabora, ni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Gabriel Mnyele ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa hiyari yake mwenyewe.
Kwa mujibu wa habari hizo, imebainika kuwa, DC Mnyele alitumia wasaha wa kuwaaga makada wa Chama cha Mapinduzi ambao walikuwa na mkutano wa kawaida hasa Madiwani wa chama hicho ambao walikuwa wakijiandaa na kikao cha Baraza.
Taarifa hizo, zimebainisha kuwa, DC huyo alimuomba Rais John Pombe Magufuli kuwa anaachana na nafasi hiyo kwa ajili ya kwenda kufanya majukumu yake mengine.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.