Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

SAKATA LA MAUAJI MABIBO DAR ES SALAAM...

Wakazi na wafanyabiashara wa Mabibo jijini Dar es Salaam wakiwa wameizunguka ofisi ya soko la Mabibo-Mwisho alimohifadhiwa mtu anayetuhumiwa kuua na kujeruhi watu kadhaa katika soko hilo kabla polisi hawajafika.
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Shadrack Maninje maarufu kwa jina la  Idd anadaiwa kuua na kujeruhi watu sita kwa kisu akiwemo mtoto.  Tukio hilo limetokea jana usiku, maeneo ya Mabibo jijini Dar.
Kwa habari zaidi zenye uchunguzi, usikose kutembelea mo designtz.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top