Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HARMORAPA AOTA MBAWA... APATA DILI HILI...


Msanii Hamorapa wa pili (kushoto) akiwa na wadau wakinyaji hicho na mtayarishaji P Funk Majani (Kulia).

MSANII wa Bongo Fleva anayetamba katika mitandao ya kijamii Bongo, ‘Hamorapa’ anatazamiwa kuwa balozi wa Kinywaji kiitwacho Swala.

Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu, Hamorapa amefunguka kuwa yupo katika mazungumzo na kampuni  hiyo inayozalisha kinywaji cha Swala na anatarajia kupata dili nono ya kukitangaza kinywaji hicho.

baadhi ya mashabiki wa Muziki wa Bongo flava wanaendelea kumshangaa msanii huyu anavyoendelea kupaa kwa kasi ya ajabu kwenye muziki lakini pia na kwenye kumake headlines kwenye vyombo vya habari mbalimbali.




BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top