Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

TULLAH TWEVE: HABARI WANAZO IPO TAYARI... INGIA HAPA...



Msanii na Muimbaji anaye chipukia wa nyimbo za Injili Tullah Tweve, ameachia wimbo mpya unaofahamika kwa jina la Habari Wanazo.
Akizungumza na MO Design, Tullah alisema kuwa amashukuru Mungu kwa kuwa wimbo huo umepokelewa vizuri tofauti na alivyotarajia, kwani alianza kukatishwa tamaa kwa maneno mengi ya watu.

Tullah amesema kuwa katika kazi hizi usipokuwa na Mungu unaweza kuishia njiani na ukashindwa kutimiza ndoto zako,
aliongeza kusema kuwa wimbo huo ni moja kati ya nyimbo ambazo anaendelea kuziandaa ambazo zitakuwa katika Album yake ambayo bado inaandalia. Akasema kuwa sasa yupo katika maandalizi ya kufanya video ya wimbo huo wa Habari wanazo, lakini pia bado anaagalia ni kampuni gani afanye nayo.
Tullah yuko tayari kwa mialiko mbalimbali... na unaweza kumpata kwa namba 0763 193 811 - 017 193 811

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top