Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ALICHOKISEMA NAY WAMITEGO BAADA YA KUKAMBATWA NA POLISI...



MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva anayefanya sanaa yake tofauti na wasanii wengine, Emmanuel ElibarikiNay wa Mitego‘ inadaiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akiwa Hotelini mara tu baada ya kumaliza kazi zake zilizompeleka huko.

Msanii huyo amekuwa akiimba nyimbo zenye tungo tata na inadaiwa huwenda amekamatwa kwa ajili ya kutumbuiza wimbo wake mpya uitwao ‘Wapo’, unaoendelea kusambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.






BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top