Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HATIMAYE RC MAKONDA ABANWA NA BUNGE... AHOJIWA DODOMA...

MKUU wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda  leo Machi 29, amebanwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo hivi punde ameanza kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ili kujibu tuhuma zinazomkabili.
Hatua hiyo ya kumita RC Makonda kujibu tuhuma zinazomkabili ilifikiwa bungeni  wiki chache zilizopita baada ya kuafikiwa kwa hoja iliyotolewa bungeni na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, kufuatia kauli inayodaiwa kutolewa na Mkuu wa Mkoa wa  Dar es Salaam Paul Makonda inayodaiwa kuwa ni dharau kwa Bunge.

Pia Mwita alidai kuwa viongozi mbalimbali hasa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wamekuwa wakitumia madaraka yao vibaya kiasi cha kuingilia majukumu yasiyo yao, na wakati mwingine kuingilia majukumu ya Bunge, na kutolea mfano Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Alexander Mnyeti.
tutaendelea kuwajuza kinachoendelea.
WENGI WANASEMA UNAFANANA NA MOYO SUKUMA DAMU... SIKILIZA MWENYEWE,,,

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top