Hili ni wingu la ajabu na lililowatisha baadhi ya wananchi wa Brazil pale ambapo wingu hili hubwa na la ajabu huku likiwa na rangi mbili yaani rangi ya wingu la kawaida na rangi nyingine kama vumbi si vumbi au moto si moto liliposhuka tena kwa hali ya taratibu juu la jengo moja huko Brazil.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.