Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ONGEA KIFARANSA KWA URAHISI NA MO DESIGN: SOMO LA 1



Hii ni Programe mpya ambayo imeanzinswa na Mtandao wako pendwa wa MO Design kwaajili ya kukufanya wewe usiyeweza kuongea lugha ya kifaransa uwe japo na uwezo wa kujielezea kwa lugha hiyo.
Lugha ya kifaransa ni moja kati ya Lugha za kimataifa, zinazotumika katika nchi nyingi za afrika tukiacha ulaya na kwingine. baada ya lugha ya kiingereza, kifaransa ni lugha inayozungumzwa karibia duniani kote hivyo kuifanya iwe international laguage baada ya kiingereza.
watu wengi wamekuwa wakiogopa kujifunza lugha hiyo kwa kuhisi kuwa ni ngumu kujifunza lakini hapa MO Design tumekurahisishia jinsi ya kujifunza na kuelewa kwa haraka, unachotakiwa ni kufuatilia kila kipindi bilka kukosa na utaweza kujielezea kwa Kifaransa kwa muda mfupi sana.


BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top