tutamkumbuka kwa mengi kutokana na mengi aliyoyafanya akiwa katika fani yake ya Muziki na maigizo ya vichekesho, hakika sina uhakika kuwa atapatika mwengine atakaye fanya kama alivyokuwa akifaha sharo, alikuw na style za aina yake na swaga sa kipekee... ametuachia vibwagizo vingi ambavyo naamini havitofutika mapema midomoni mwa wengi, kamavile, "KAMATA MWIZI MEN, OOOH MAMA, UMEBUGI MEN, na mingine mingi... R.I.P Sharo...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.