Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 6

ILIPOISHIA SEHEMU YA 5...


"...Hata hizo nguo nikikununulia usiseme kama mimi ndo nilikununulia sawa".." "..." sawa..." alijibu tena Hasina na huku akijaribu kujitoa mikononi kwa mzee Bisu.

SASA ENDELEA SEHEMU YA 6


"... lakini baba mbona unanishika hivyo?..'
alihoji Hasina kwa Hofu huku akianza kuhisi kuwa kuna kitu anakitaka Mzee Bisu kutoka kwake.
Mzee Bisu hakujibu kitu ila aliendelea na kile alichokuwa akikusudia kukifanya, alikuwa tayari ameanza kumpapasa papasa Hasina sehemu za mabegani na huku akiwa anashuka taratibu kuelekea chini.
"... baba,.. baba..."
aliita Hasina huku akiendelea kujitingisha mwili wake ili mzee Bizsu asiendelee kufanya kile alichokuwa akikifanya, lakini mzee Bisu wala hakuacha na wala hakuitikia mwito wake, na kama aliitika basi sauti ilikuwa ikiishia tumboni bila kutoka nje.
Hasina alipoona mzee Bisu anaendelea kumpapasa na bila kuitikia mwito wake, akaanza kujivuta ili asimame.
"... baba mi sitaki hicho unachotaka kufanya..."
hatimaye Hasina alitamka.
"... sikia Hasina, hebu twende kwanza chumbani kwako...""
... chumbani kwangu kufanya nini baba?.."
"... kuna kitu nataka nikuoneshe huko..."
"... kwa nini usinioneshe hapa hapa?.."
"... hapa sio pazuri, twende chumbani..."
aliongea Mzee Bisu huku akiinuka na kuanza kumvuta Hasina ili asimame waongozane kwenda chumbani.
"... Baba mi siwezi kwenda huko chumbani na wewe... naogopa..."
alijubu Hasina huku akiweka mgomo kuinuka pale alipokuwa akikaa.
"... unaogopa nini sasa, kwani mimi zombi?.."
Mzee bisu alihoji huku akionekana kuwa tayari alianza kuchukizwa na msimamo wa Hasina wakati yeye alitegemea kuwa asingewekewa mgomo na mfanyakazi wake wa ndani. hali ilikuwa mbaya kwa upande wake, sungura wake alikuwa tayari kwa vita na alioneka dhahiri alivyokuwa ametuna ndani ya katula kubwa aliokuwa amelivaa,  na ni hicho kilichomuogopesha zaidi Hasina kwani tayari alishajua kuwa Boss wake huyo alikuwa akitaka kula tundi.
mzee Bisu alitamani atumie nguvu kumvutia Hasina chumbani, lakini akaogopa kwani alihofia kuwa hasina anaweza kupiga kelele na kujaza watu. akaamua kutumia tu mdogo kujaribu kumlainisha japo alishagundua kuwa Hasina hakuwa tayari kufanya kile alichokitaka yeye. akaona bora ajaribu kwanza kumuogopesha labda mtoto atalainika.
"... sikia Hasina, kama utaendelea kugomea hiki nnachokitaka kwako basi na mimi ntakuwa sina bubudi kukufanyia ubaya..."
aliongea mzee bisu akiwa bado kamshikilia mkono Hasina aliyekua bado kakalia sofa lilelile na huku mzee bisu akiwa kasimama mbele yake. macho yake muda wote yalikuwa yakiangalia kwenye kaptula la Mzee Bisu lililokuwa limetuna kwa mbele kuashiria kuwa kitu kilichokuwa ndani kilikuwa kimetuna vibaya. aliinua macho yake na kuyatumbua huku akimuangalia Mzee Bisu machoni kutokana na kauli yake ile, aliogopa zaidi. alikuwa akijiuliza ni ubaya gani ambao mzee Bisu alikusudia kumfanyia kama ataendelea na mgomo wake.
"... atanibaka kwa nguvu?.. au... ataniua... au ubayagani sasa ambao anauzungumzia huyu mzee...? yalikuwa ni mawazo yaliyokuwa yakipita akilini mwake, mara akagutushwa tena na sauti ya mzee Bisu. "... ujue hapa uko kwangu, na hapa, mimi ndio nnayekulipa mshahara na mimi ndo kila kitu humu ndani... sasa utachagua Moja kati ya haya mawili..."
aliendelea kuongea mzee Bisu uku Hasina akiendelea kumtumbulia macho na kusubiria kuambiwa ni mawili gani hayo anayotakiwa kuchagua moja.
"... unafungasha vitu vyako sasa hivi unaondoka kwenu, tena bila kupewa hata shilingi tano, au ukubali kwenda na mimi chumbani kwako unipe nnachokitaka kwako ili uendelee kufanya kazi hapa na nikutimizie ahadi nilizokuahidi kukununulia tena na mambo mengine mengi nitakupa..."
Hasina alibaki kumtumbulia macho mzee Bisu na huku akiwa kaachia mdomo wazi asijue cha kuchagua. alikuwa akitafakari harakaharaka kichwani mwake nini achague.
akikataa kuingia chumbani na mzee Bisu, ina maana kwamba yeye aingie chumbani humo akusanye kilichochake na atoweke pale nyumbani tena bila kupewa hata senti moja. au akubali kuingia chumbani humo na mzee Bisu afanye kile ambacho mzee Bisu anakitaka ili aendelee kukaa na bado atatimiziwa mengi aliyoahidiwa na mzee huyo pamoja i.
"... nikisema niondoke hapa na viguo vyangu ntakua sina pakwenda zaidi ya kupanda gari na kurudi Tanga... na huko tanga ntaendaje wakati hata shilingi kumi sina..."
aliendela kuwaza Hasina.
"... lakini nikimkubalia huyu mzee kama anavyosema ataninunulia kila alichoniahidi... lakini kutembea na mzee mtu mzima kama huyu si sawa sawa nakutembea na baba yangu?..  hapana... mungu wangu nifanye nini sasa mimi?.. "

JE HASINA ATAKUBALI KUINGIA CHUMBANI NA MZEE BISU AU NDO ANAKUSAYA VIGUO VYAKE VICHAFU NA KUONDOKA KWAo?
FUATILIA SEHEMU YA SABA  (7)

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top