Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAMA MZAZI WA SHARO AKIMLILIA MWANAE...INATIA HUZUNI...

Mazishi yasharo tayari yameshafanyika, kusema kweli ilitia huzuni sana kuona kija mdogo na kipenzi chawengi akitoweka ghafla,.. ni mipango ya mungu hatuwezi kupinga ila inauma sana,.. kama unavyomuona mama huyu akilia kwa uzuni nyingi, huyu ni mama mzazi wa Sharo milionea liyetutoka usiku  wa november 27, 2012 maeneo ya Songa - maguzoni, Muheza Tanga akielekea nyumbani kwao kumuona mama yake. Mazingira ya kifo chake bado yanautata ukizingatia vitu vitano ambavyo mtu unaweza kuvitathmini... 1. Barabara ni nzuri hakuna kona mbaya wala mashimo barabarani sasa kipi kilisababisha gari ipinduke?... 2. aliendesha gari kwa kwa  Kilometa nyingi sana na zilibaki chache mno awasili nyumbani kwao ndipo kifo kifo kikatokea... 3. ni kitu gani kilichomchanganya mpaka akashindwa kulikotro gari wakati alikuwa peke yake ndani ya gari?.. 4. na kwanini aende kufia katika mji aliozaliwa, kwanini asifie kwingine?.. 5. kwa nini hivi vifo vimefuatana hivi? ndani ya mwezi mmoja tumezika wasanii 4 mwezi huu unanini...



BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top