kuna jambo moja linalonishangaza kulingana nahivi vifo vya wasanii wentu inakuwaje inapotokea nda mtu anaanza kula matunda ya kazi yake ndio kifo kinamkuta? alfu mbona hivi vifo vinafuatana hivi, juzi tu hapa tulimpoteza MLOPELO, baada ya mlopelo akafuata JOHN MAGANGA ambaye hata mwili wake hatujauzika tayari sharo naye huyo hii inakuwaje jamani?????....
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.