"SNURA NI MKE WANGU"... Hayo ni maneno ya Msanii wa filamu na miss Tanzania 2006 WEMA ISAC SEPETU ... kauli hiyo ilitokana na BIFU zito linaloendelea baina yake yeye na SNURA MUSHI,.. " hakuna mtu siyejua kuwa mimi ndo nilikuwa naendesha maisha ya SNURA kama mke wangu, kama nguo nzuri nilimnunulia pochi hadi fpesa za matumizi nilimpa" aliongea WEMA na kuongeza kuwa hata kodi ya nyumba alishamlipia ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya shule ya mtoto wa SNURA,..Yote hayo yalitokana na kauli alioiongea SNURA kwenye runinga alipokuwa kwenye kipindi cha HOT MIX EATV kuwa ana siri nyingi za WEMA na kwamba akiamua kuzianika mtaani WEMA atashindwa kutembea... this is to much jamani, narudia tena kusema je, hawa wasanii wetu tunaowaita kioo cha jamii wanatufundisha nini?.. wanatufundisha kuwekeana mabifu yasiyokuwa na msingi?.. na hapo ukifuatilia sababu kubwa hasa ya ugonvi wao utagundua kuwa kuna mwanamme hapa kati.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.