Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BONGO MOVIE : YA NINI?

IRENE UWOYA
ISSA MUSSA CLOUD 112
JACOB STEVEN - JB
VICENT KIGOSI & BLANDINA CHAGULA
HEMED SULEIMAN
JACKELINE WOLPER
YUSUF MLELA
JENNIFER KYAKA - ODAMA
WILLIAM J. MTITU
Hawa ni baadhiti tu na wasanii ambao wako bongo movie,.. tuliamini kuwa BONGO MOVIE itakuwa ni chombo chenye maana kubwa na faida sana kwa jamii na kwa wasanii wenyewe, lakini kumbe ni tofauti sana na fikra zetu, BONGO MOVIE imekuwa ni chombo kisicho na faida yoyote zaidi ya kuendekeza ngono na mambo mengine yasiokuwa na msingi kama MABIFU yasiyo na maana. Imefikia hatua mpaka msanii au mwanachama wa chombo hicho anapopata matatizo, kusaidiwa inakuwa ni shida sana, na akipatakusaidiwa basi huyo mtu ana bahati sana tena ya kuzaliwa... shutuma ya kwamba BONGO MOVIE inahusika kifo cha SAJUKI naweza kuafikiana nayo kwa namna moja au nyingine, SAJUKI alitakiwa kurudi India kwa ajili ya matibabu zaidi na alihitaji kupata pesa ya kuweza kumsafirisha lakini hizo pesa hazikupatikana. ni kwa nini hazikupatikana? BONGO MOVIE mlikuwa wapi na je mlishindawa kupata pesa ya kuweza kumsafirisha SAJUKI na kwenda kupata matibabu?.. BONGO MOVIE kama BONGO MOVIE mlifanya jitihada gani za kuweza kuokoa maisha ya sajuki,.. lakini kama mngeambiwa kuna party tunanatakiwa kuchanga pesa, mngechanga harakaharaka na kuweza kupata mamilioni, hiyo ni kwa ajili ya kwenda kulewea ila michango ambayo ni ya kimsingi mnaingikimbia... BONGO MOVIE tena ilinishangaza kwenye msiba wa marehemu MAGANGA pale walipoambiwa kuchangia sijui shilingi laki mbili tu, ilikuwa ni kizaazaa, alafu ni aibu kubwa kwa wasanii wakubwa na wenye majina makubwa kushindwa kuchangia pesa kidogo kama hiyo mpaka pale alipopigiwa simu msanii mwengine ambaye mara nyingi huwa anajitolea ndio akaahidi kuwa ataitoa hiyo pesa yote... sasa hiyo BONGO MOVIE ina faida gani kwetu jamii? inafaida gani kwa wasanii wenyewe?.. mimi sioni faida na manufaa ya chombo hiki...kwa mimi na sema kwamba BONGO MOVIE IT'S NOTHING NA HAINA MAANA YOYOTE WALA FAIDA YOYOTE.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

6 Maoni

Bongo movie ndo mpango mzima

Reply

Bongo movie ni mpango mzima kwenye kuche za filam lakini maadili na utu hakuna so wajirekebishe ili waendane na hadhi yao...

Reply

Hawa ni noma kwa sana tu, au vp @Mo design??

Reply

Kweli kabisa, maana sometimes tunaangalia na wazazi wetu filamu zao, mara wafanye visivyo.....

Reply

kweli ni nima kwa matendo ya ajabuajabu...

Reply

iyo ni kweli,.. lakini mimi niko kwenye hicho chama sijui nikiite kikundi,.. sioni faida yake ndio maana nimeuliza BONGO MOVIE YA NINI?

Reply

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top