Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MATAPELI WAJIPATIA PESA MSIBA WASAJUKI

MATAPELI WAJIPATIA PESA KWA UDANGANYIFU MSIBA WA SAJUKI... Hali hii imeanza kujitokeza kwenye msiba wa JUMA KILOWOKO- SAJUKI ambapo katika hali isiyo ya kawaida kuna kijana ambaye amejulikana kwa jina moja la TUMAINI, yeye amejifanya kama mmoja wa wanakamati ambayo imeteuliwa kwaa jili ya ukusanyaji wa` pesa za rambirambi hivyo kuanza kujikusanyia hela bila wahusika kujua. lakini hilo limeshitukiwa na baadhi ya wanakamati, na sasa limetoka tamko kuwa, kwa yeyeyote atakaye kuwa tayari kuchangia chochote kuhusiana na mmsiba huu wa SAJUKI, anatakiwa kuwasiliana na STEVE NYERERE AU MIKE SANGU, wengine wote ni waongo na matapeli. jamani watanzania sijui kwa nini tunakuwa na roho za ajabuajabu watu wanaenda kwenye msiba kwa ajili ya kuomboleza wewe unakwenda kwenye msiba kuiba michango ya msiba, hizi ni akili au labda ni kurogwa... kweli kufa kufaana...

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

2 Maoni

Hapo utuu unahitajika kwanini tuna kuwa na roho za ajabu hivii watanzania tuna kwenda wapi? na je huyo taperi kachukuliwa hatua gani? mbaka sasa@mussa

Reply

Huyu tapeli mpaka sasa hajakamatwa but number zake zimeshajulikana na watu wamepewa tahadhari...

Reply

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top