Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MO AKIWA NA MA MODEL WA MO Design- AKIELEKEZA MAPOZI

MO AKIWA NA MAMODEL WA MO Design AKIWAELEKEZA MAPOZI
MO akiwa na ma Model wa MO Design wakati wa upigaji wa picha za mitindo ya mavazi ya Kampuni na Duka la NANCY CLASSIQUE ya Dar es Salaam. MO Design pia tunajishughulisha na upigaji wa picha za mitindo ya mavazi.
 Ukitaka kupiga picha za kutangaza kampuni yako kama ni ya mavazi au chochote wasiliana nasi. MO Design tunakufanyi vizuri sana, tunakuja na vifaa vyetu na Mamodel wetu wa kike au kama utahitaji wa kiume tunakuja nao. kapuni na duka la nancy calssique ya Dar es Salaam walituhitaji kwa ajili ya upigaji picha na utengenezaji wa kitabu cha mitindo ya mavazi yaani Magazine itakayojulikana kama LULU-A Top Style.
upigaji wa picha ulishakamilika na picha baadhi ndio kama hizo unaziona. nyingine ukitaka kuziona angalia kwenye blog ya Nancy Classique utakutna nazo nyingi (nancyclassiqu.blogspot.com)
PENDEKEZO LA KAVA LA MAZAZINE YA LULU-A
Picha hii ni Moja ya mapendekezo ya jinsi kava la Magazine hiyo litakavyokuwa japo bado tunaendelea kubuni zaidi ili magazine hiyo ipendeze. wakati tunaendelea na utengenezaji wa magazine hiyo, MODesign tunajiandaa kupiga tangazo hivi karibuni, bado tuko kwenye maandalizi na kukamilisha wahusika katika tangazo hilo.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top