Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

NAY ANAMADEMU WA KUTOSHA

NAY AND NISHA
msanii wa kizazi kipya na anayeshika kasi katika fani hiyo ya bongo faver, NAY WA MITEGO ni msani anayejigamba kuwa na mademu wengi kuliko wengine wote katika gemu hilo. hili limebainika pale alipojigamba kuwa yeye bado hajaoa ila ana mademu wa kutosha tu.
Akizungumza na tq wa GB, NAY alisema kuwa mademu hao wote anawamudu kwa vile yeye anajiamini ni kidume cha mbegu kama anavyoonekana.
NAY ni msanii ambaye anakamata kisawasawa katika gemu hili la bongo flaver na anazidi kufanya vizuri. kuwa na idadi kubwa ya mademu au kuwa na idadi kubwa ya wanaume, inaongeza vilevile nafasi ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi japo yeye NAY amesema kwamba yuko makini na swala hilo la ukimwi.
Siku za hivi karibuni, NAY alikuwa katika mapenzi mazito na msanii kinara wa BONGO MOVIE anayekwenda kwa jina la NISHA japo inasadikika sasa kuwa wametengana. hivyo inaonyesha kuwa msanii huyo pia ni miongoni mwa mademu hao ambao NAY amewataja kuwa anao wakutosha, na je kama anao wakutosha,ni yupi kati yao atakaye kuwa mkewe?
Hata hivyo mpaka anafikia kujigamba kwenye vyombo vya habari kuwa anao wakutosha ina maana kwamba wote pia wanafahamiana au wanafahamu kuwa NAY anawachanganya, lakini sasa kwa nini waendelee kuwa naye wakati wanafahamu kuwa anawachanaganya?
NAY alizaliwa mwaka 1985 na alianza mziki mwaka 1996, kitu kinachoonesha kuwa alianza muziki akiwa na umri wamiaka 11. hapa kuna utata. na hili tutalifanyia kazi.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top