" Mimi ni Shoga, na nnafurahi sana kuwa shoga"
Hii ni kauli ya mcheza mieleka maarufu wa WWE DAREEN YOUNG anayesifika sana kwa kufanana na Mcheza mieleka mwengine mwenye jina kubwa JOHN CENA.
Darren Young ambaye ni bingwa katika michezo hiyo ya mieleka aliongea maneno hayo siku ya Jumatano alipohojiwa na TMZ kama Mcheza mieleka ambaye ni shoga anaweza kufanikiwa katika mapambano hayo ya WWE
|
DARREN YOUNG (WWE SUPERSTAR) |
Darren alicheka na kisha akajibu ifuatavyo, "... "Absolutely. Look at me. I'm a WWE superstar and to be honest with you,
I'll tell you right now, I'm gay. And I'm happy. I'm very happy."
(kabisa, hebu nitazame, mimi ni superstar wa WWE na nikuweke wazi tu kuwa, mimi shoga na nnafuraha sana).
|
DARREN YOUNG AKIWA KAZINI |
Darren ni mwanamieleka wa kwanza wa WWE kujitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga na kweli hii ni habari kubwa na kushtusha
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.