hii imeripotiwa na chanzo cha habari hizi kuwa watu walikuwa wakipangwa kwenye mtari bila kujali wanawake au watoto na kisha kuhojiwa jina la mama wa mtume muhamad (SW)...
ukifeli kujibu swali unauawa papo hapo kwa kutumia silaha aina ya AK. 47s. wote waliofeli walikuwa wakiitwa makafiri na kisha kuuawa, awe ana dini au hana dini.
baada ya hali kuwa mbaya zaidi, wengi walijificha kwenye ma box na wengine kuact kama wamekufa kwa kujipaka damu za watu waliokufa ili tu kunusuru maisha yao... INASIKITIUSHA SANA.
modesign tunatoa pole kwa wa kenya wote na wote waliopoteza ndugu na jamaa zao.
mungu azilaze pema roho za marehemu AMIN
http://www.dailymail.co.uk/news/article-2428875/Terror-Kenya-Survivors-reveal-gunman-executed-non-Muslims.html
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.