Alfajiri na mapema ya leo alhamisi askari polisi wakiongozana na mgambo wa jiji wamekivaa kituo kikuu cha daladala cha Mwenge na kubomoa vibanda vyote vya wafanyabiashara ndogondogo na kuvisambaratisha bila huruma... watu waliowengi walilalamikia kitendo hicho ambacho inasemekana ni moja ya operation ya serikali ya kusafisha jiji.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.