Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KWA MARA NYINGINE DIAMOND NA NAY WAZICHAPA KWENYE MIC


tukizungumzia colabo ya Nay wa mitego na Diamond ni moja kati ya collabo zilizofanya vizuri sana... Collabo yao, ya ‘Muziki Gani’ ilikuwa miongoni mwa ngoma zilizotamba zaidi miaka miwili iliyopita, hivyo ukiwaona wameingia tena studio, hakuna shaka kuwa kuna hit nyingine ipo njiani.
Nay wa Mitego na Diamond Platnumz wameingia studio kwa mara nyingine kutengeneza wimbo wa pamoja ikiwa ni katika harakati za kuendelea muziki wao.
Nay amepost picha akiwa na hitmaker huyo ambaye hivi karibuni alikuwa vekesheni visiwani Zanzibar na mpenzi wake Zari na kuandika:
You know how it is when these two Devils meet…. #Nightsession #BabaKijacho a.k.a #ShabaLanks a.k.a mpya hii.. @diamondplatnumz Kumekuchaaaaaa.”
isikupite story hata moja Beste wangu wa ukweli, na mimi nitaendelea kukuweke kila story inayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANACHAMA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top