mume wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Pipi, alienda kuweka bondi gari la familia na kupewa kiasi cha pesa alichohitaji, siku alipoenda kulichukua mama wa msanii Pipi alilikamata kwa madai kuwa limeibiwa.
Jamaa ambaye jina lake ni Edson amesema kuwa mume wake Pipi anayeitwa Lucasalienda na jamaa mmoja na kumuambia kuwa wanashida ya fedha ya kukomboa gari lao ambalo liko bandarini akawapa milioni tatu walizohitaji na kumuachia gari yao aina ya Toyota IST, baadae alirudi akamwambia haikutosha na kuhitaji tena kiasi cha milioni mbili, ilipofika siku ya kurudisha fedha hizo alishangaa kuona gari inakamatwa.
Pipi alipoulizwa kama anamjua Lucas alikataa kuwa sio mume wake, walipotafuta vielelezo ikiwemo vyeti vya ndoa vilionyesha kuwa ni mume wa msanii huyo.
Endelea kufuatilia modesigntz Beste wanu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuletea kila story inayotua mezani kwangu...
USISAHAU PIA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK ILI NA WEWE UWE MWANAJAMII NA UWE UNAPATA HABARI ZETU MOJA KWA MOJA
Pia wazeza kunifollow instagram na mimi ntakufollow back
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.