Nigeria inashikilia Rekodi ya kwanza Duniani kuwa na mti mkuwa wa krisimasi uliotengenezwa kwa chupa. awali rekodi hiyo ya Dunia ya kuwa na mti mkubwa wa krismas uliotengenezwa kwa chupa za bia ilishikiliwa na China ambao walitumia chupa 1000 kuutengeneza mti huo.
Mti huo uliotengenezwa kwa chupa tupu za bia, ni mkubwa kuliko ule uliotengenezwa China. Mti huo ulikuwa katika kisiwa cha Victoria katika jiji la Lagos Nigeria.
Endelea kufuatilia modisigntz, Beste wangu wa ukweli, na mimi nitaendelea kukusogezea kila story inayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZIKIKUFIKIA MOJA KWA MOJA.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN


Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.