MO |
"... Siwezi kupambana na wewe baba, wewe ni mzazi wangu ila najua mwenyewe nitafanya nini ili kumnusuru mama yangu... "
alimalizia Denis kisha akaingia chumbani kwake na kujifungia mlango.
SASA ENDELEA...
Mzee biso alibaki kumtumbulia macho kwa hasira akimuangalia mwanaye huyo akiingia chumbani kwake na kujifungia mlango... "
"... hawa watoto wanataka kunipanda kichwani, alijisemea mzee Bisu huku akiingia chumbani kwake. ...
sasa ntaleta mwanamke kisha nione watanifanya nini...
"... au huyu mtoto anaongea hivi kwa vile anajua siri yangu ya... aghrr..."
aliingia chumbani na kujifungia.
**********************
Anajulika kama mzee Bisu lakini jina lake kamili anaitwa Henry Bisumagusa, huyu ni mfanyabiasha wa muda mrefu na ambaye biashara zake zilimletea mafanikio makubwa japo sio ya kutisha.
alimiliki mjengo mkubwa wa kifahari na gari zake mbili za kifahari zilimtosha yeye na familia yake. Mzee bisu kama alivyojulikana na wengi, aliishi na mkewe Pauline Bingi toka wakiwa bado vijana, na katika maisha yao yote waliishi kwa upendo mkubwa sana. walipenda na walithaminiana sana, mungu akawajalia wakazaa watoto watatu wa kiume wa kwanza aliitwa John Bisumbagusa, baada ya john ndipo akazaliwa Tatch Bisumbagusa, baada ya hapo Bi. Pauline alitamani sana apate mtoto wa kike lakini bahati ya mtoto wa kike haikuwa yake, ujauzito wake watatu akazaliwa mtoto wa kiume mwingine ambaye naye wakamwita jina la Denis Bisumbagusa. Watoto wote hao wakiluwa vizuri na elimu zote walizozitaka walizipata, walilelewa katika mazingira mazuri na maadili mema.
katika miaka yote hiyo ya kuishi na mkewe na watoto wao mpaka wanakuwa watu wazima, mzee bisu hakuwahi kuwa na kimada wa nje hata siku moja na wala hakuwahi kutembea nje ya ndoa yake. lakini wakati mwanaye Denis akiwa na umri wa miaka 15, ndipo ilipotokea skendo yake ya kwanza lakini hata hivyo ilizimwa kimya kimya na iliendelea kuwa siri kati yake na mwanaye Denis. na siku zote alimsisitizia asithubutu kumwambia mtu kuhusu swala hilo.
Katika kipindi hicho ambacho Denis alikuwa na umri wa miaka 15, walikuwa na msichana wakazi ambaye alijulikana kwa jina la Hasina, huyu alikuwa ni msicha mwenye umri wa miaka 17. alikuwa na umbo dogo lakini lililojengeka vyema, namaanisha kuwa alikuwa mfupi kidogo, sio mwembamba na wala sio mnene, alikuwa na rangi nzuri ya maji ya kunde sura nzuri hata kama hajajiremba, kufua chake kiliendana na umri wake, yaani kilibeba matiti madogo yaliyochongoka na yenye kinundu kidogo kwa mbele, alikuwa na kiuno chembamba kilichobeba makalio ya wastan na yakuweza kumteka kila amtazamaye, makalio hayo yaliambatana na mahipsi ambayo siku zote aliyaficha ndani ya ligauni lake la kazi alilokuwa akilivaa kila siku. huyu ni msichana wakazi Hasina.
Siku zote alivaa migauni mikubwa na wakati mwingine ajifunge kanga kuanzia kifuanzi mpaka miguuni, ni kama alikuwa anaficha kitu, na siku zote alizokaa pale akifanya kazi, hakuna aliyewahi kumtamani kimapenzi, si baba wala watoto.
Siku moja jioni mzee Bisu alirudi nyumbani kutoka kazini kwake, siku hiyo aliwahi kurudi maana mara nyingi alipenda kurudi mida ya saa 12, lakini siku hiyo alirudi saa kumi jioni, aliingia ndani na kupitiliza chumbani kwake na kisha akatoka kukaa sebuleni akawasha luninga na kuanza kufuatilia vipindi. Siku hiyo nyumbani hapakuwa na mtu, vijana wake wote walikuwa matembezini na mkewe alikuwa amekwenda kumtembelea shoga yake mtaa wa pili kutoka pale kwao. akiwa anaendelea kuangalia runinga, mara alisikia mtu akitembea kwenye korodo inayoelekea maliwatoni, na mara akamuona msichana wake wa kazi akitokea. ..mama yangu,.. nusura rimoti imdondoke kwa kile alichokiona, mtoto wa kike alikuwa ndani ya kanga moja akitokea bafuni kuoga, kanga ilirowa maji chapachapa na ndani hakuvaa kitu chochote maana nguo ya ndani aliishika mkononi. mzee bisu alikutana na umbo la ajabu na lenye mvuto, mwenyewe alijikuta akiachia mdomo wazi maana hakuwahi kufikiria kuwa yule msichana alikuwa na umbo zuri kiasi kile kwani siku zote alilificha umbo lake kwa magauni yake ya kazi.
Hasina pia hakutegemea kama atamkuta tajiri yake pale kwani siku zote ikifika mida hiyo ya jioni ndio yeye huingia kuoga baada ya kumaliza kazi zake zote, na mara nyingi nyumbani kunakuwa hakuna mtu, hivyo huwa anajiachia. siku hiyo alipatwa na mshituko pia maana hakutegemea kuwa atakutana na mtu sebuleni nusura arudi nyuma lakini akajipa ujasiri kwani akirudi nyuma atakwenda wapi na atakaa bafuni mpaka saa ngapi kwani hajui boss wake atatoka hapo sebuleni saa ngapi, mara ikamuaanguka shikamoo.
"... shakamoo baba,.. "
aliongea uku akipita kwa mwendo wa taratibu na waheshima.
"... ma,..marahabaa...hujambo Husna..."
mzee bisu alipatwa na kigugumizi.
"... sijambo baba..."
alijibu huku akiendelea na safari yake ya kwenda chumbani kwake. Mzee Bisu aliendelea kumkodolea macho, na ndipo alipokutana na kile kilichokuwa kimejificha nyuma alafu kimenatia kwenye kanga.
Mzee wa watu nusura apige ukelele lakini akajikausha.
"... duh,.. kumbe mtoto huyu ni mzuri kiasi hiki?.." alijisemea mwenyewe baada ya Hasina kupotelea chumbani kwake.
"... hapana lazima kifanyike kitu,.."
aliendelea kujisemea mwenyewe.
"... inamaaa hawa watoto hawajamuona kweli huyu?.."
aliendelea kujiuliza maswali mwenyewe.
"... hapana hapa, lazma nifanye mpango wa kando..."
aliongea kisha akainuka taratibu, aliangalia huku na huku hakuona mtu, akaanza kunyata kuelekea malango wa kuingilia chumbani kwa Hasina.
ITAENDELEA JUMAPILI. USIKOSE SEHEMU YA NNE.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.