Katika kukuza Sanaa ya Filam Tanzania, tunahitaji vipaji vya ukweli, namaanisha vinahitajika vipaji visivyo vya kubabaisha wala vipaji vya kujaribu. Tanzania tunao wasanii wengi wazuri wanaoonekana na tunao wasanii wengi wazuri ambao bado wako mitaani lakini wanahitaji kupata njia na mwongozo wa wapi wapitie ikiwemo na uwezeshwaji. pia tunao wengi wanaochipukia lakini ukiwatizama wanauwezo mkubwa kuliko wale waliokaa kwenye game kwa muda mrefu... Jina la BAKARI HASSAN linaweza kuwa geni masikioni kwako kwavile hujawahi kupata moja ya kazi alizoshiriki, lakini ukiona kazi zake utakubali na kusema huyu ni zaidi ya wale waliotangulia.
BAKARI HASSAN ni msaanii ambaye ni upcomming lakini anafanya vizuri na ana uwezo mkubwa katika sanaa, unaweza kumlinganisha na akina Hemed PHD, YUSUF MLELA na wengine wengi. ukiangalia sinema kama STUPID FADHA aliocheza na marehemu Adam kuambiana na tamthilia inayokuja iitwayo MTENDA HUTENDWA utakubaliana na mimi. taendelea kukuletea mengi kuhusu Bakari Hassan
Endelea kuperuz modesigntz...
PIA USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANACHAMA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN


Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.