MCHUNGAJI
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa
muziki wa Injili Flora Mbasha, Jana alasiri Mei 24, waliibukia kwenye
mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Mh. Halima Mdee chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa ahadi za mbunge 2011-2015".
Mgeni rasmi kwenye mkutano huo alikuwa ni mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Freeman Mbowe


![]() |

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.