Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

JE.. JACK PATRICK AKIRUDI, VANESSA MDEE ATAKUWA NA NAFASI GANI KWA JUX?..

  Super model ambaye yupo gelezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric . Awali mwana dada huyo aliwai kuwa na mahusiano na mwanamuziki wabongo fleva Juma Jux , but baada ya mwana dada huyo kutupwa garezani kwa mika kumi ,Jux ameamua kuanzisha mahusiano na Vanessa Mdee  huku akiwa wana ponda raha day after day. awali jux alinukuliwa na kituo kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi wake Jack yupo jela ila bado atalilinda penzi lao mapaka akaamua kumtungia nyimbo ‘’Nitasubiri’’  je Jux ameamua kumsaliti Jack nakuwa na Vanessa au kaona so kuwa na Jack kisa kapatwa na skendo hiyo??? kwa mfano Jack akitoka jela atakuwa na nafasi gani kwa jux au Vanessa atapigwa chini ??? Jack awalii aliwahi kuolewa na  mwanaume afahamikaye kwa jina la Fundikila but ndoa yao iliweza kuvunjika kutokana kwa mwana dada huyo kumsaliti mumewe na Jux hadi kupelekea kila mtu kushika time yake .Je kwa hali ya kawaida Jux ameonesha kutokua mvumilivu na kuvunja ahadi au yupo na Vanessa kwa short time ???
jux-na-JackieJux akiwa na Jack enzi ya mapenzi yao

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top