Kikao cha Halmashauri Kuu CCM Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti Rais Kikwete kilipitisha jina la Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu Tanzania 2015 ambapo baada ya kutoka Dodoma alirudi Dar es salaam na kukutana na Wananchi Dodoma.BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.