Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BAHATI BUKUKU ARIDHIKA KUISHI BILA MUME... SOMA ALICHOKISEMA HAPA...


Bahati Bukuku.

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili, Bahati Lusako Bukuku amefungukia kuridhika na maisha yake bila mume kwamba suala la kuwa naye halina utashi wala ulazima na kuongeza kuwa ni vyema kama jambo limeshindikana kuachana nalo.
Akiongea nasi, Bukuku alisema watu wamekuwa na tafsiri batili juu yake, kutokana na kuishi muda mrefu pasip-okuwa na ndoa, huku akiweka wazi kuwa maisha hujengwa na mwenye maisha na kufafanua kwamba anaridhika na maisha hayo na wala siyo dhambi kuishi peke yake.
“Watu wanashindwa kusoma na kuielewa vyema Biblia, suala la ndoa halina mashiko wala amri ya kwamba usipofanya itakuwa ni dhambi, ndiyo maana hata Mtume Paulo katika nyaraka zake kwa Wakorintho, alilifafanua sana jambo hilo, ” alisema Bahati.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top