Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji wa New York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania.
Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya ’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapango wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN












Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.