Ni Mwaka 2015 ambao ni mwaka wa uchaguzi, kila chama kinachukua headlines nyingi tu na kazi yetu sisi ni kukufikishia yote kwa ukamilifu wake ambapo hii post ni ya CHADEMA, wameitoa list ya wataogombea Ubunge akiwemo Star wa hiphop wa kitambo, Profesa Jay utaliona jina lake kwenye mkoa wa Morogoro ( Joseph Haule )
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN













Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.