August 15 klabu ya Simba Sports inarudi uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya kirafiki ya kimataifa ambayo safari hii inacheza na klabu inayomilikiwa na mamlaka ya mapato ya Uganda (URA), katika mchezo huu Simba inasemekana itachezesha vikosi viwili hili kuangalia wachezaji wake wote. hizi hapa picha za timu zikipasha misuli moto kabla ya mechi kuanza.
URA ya Uganda ikipasha misuli moto
Hali ilivyo kwa upande wa mashabiki
First Eleven ya Simba
- Peter Manyika
- Emery Nimubona
- Samih Nuhu
- Saidi Issa
- Jukko Murushid
- Abdi Banda
- Awadh Juma
- Simon Serenkuma
- Issa Ngoa
- Kevin Ndayisenga
- Danny Lyanga
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN












Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.