Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

LIKO HAPA JINA LA MSENEGAL MWINGINE ANAYEKUJA SIMBA... JE, WATAMTEMA PAPA NIANG... SOMA HAPA...

DSC_9335
Klabu ya soka ya Simba mwishoni mwa wiki iliyopita ilimleta mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Papa Niang ambaye ni ndugu wa damu na Mamadou Niang mchezaji aliyetamba katika vilabu kadhaa barani Ulaya ikiwemo timu ya taifa ya Senegal.
August 24 Papa Niang alijaribiwa na wekundu hao wa msimbazi katika mechi ya kirafiki ya Simba dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga inayofundishwa na kocha Jamhuri Kiwelo, taarifa zilizotoka ni  kuwa Niang hajafanya vizuri majaribio ya Simba hivyo August 25 inaleta msenegal mwingine kuja kumfanyia majaribio.
Taarifa zinaeleza Simba inamleta Pape Abdoulah Nd’aw kutoka Senegal ila analetwa na wakala aliyemleta kocha wa Simba Dylan Kerr, msenegal huyo anayekuja Simba inadaiwa ameshawahi kucheza Ulaya katika klabu ya Bucharest ila alivunja mkataba baada ya kutolipwa fedha anazodai

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top