Mchana wa leo August 13 2015 zimetufikia taarifa kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambapo msafara wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya UKAWA 2015 Mh. Edward Lowassa, umezuiwa na Polisi... tutakujuza kwa nini msafara huo ulizuia punde taarifa rasmi zitakapotufikia...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.