
Freeman Mbowe akisindikizwa na Vijana wa Red Brigade baada ya kufika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe Mbeya ambapo Mkutano wa CHADEMA ulifanyika.
Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake, Waziri Mkuu wa zamani na Mgombea Urais aliyepitishwa na CHADEMA pamoja na Umoja wa UKAWA, Edward Lowassa alianza safari ya kuzunguka Mikoani kutafuta Wadhamini ambapo safari yake jana alianzia Mbeya.
Tulizipata pichaz za kwanza kutoka huko na hizi ni nyingine pia ambazo zimenifikia nikaona nizisogeze hapa na wewe uone kila kilichoendelea baada ya Mgombea Urais huyo kupokelewa na watu wa Mbeya.

Mgombea Urais Edward Lowassa akipunga mkono kuwasalimia watu waliojitokeza kwenye Mkutano huo Mbeya.


Camera za Waandishi wa Habari pamoja na watu waliojaa kwenye Viwanja hivyo kwenye Mkutano wa CHADEMA.

Baada ya kumaliza Mkutano huo, hapa ilikuwa time ya kuwaaga watu wa Mbeya.

Ziara ya Mgombea huyo Urais inaendelea Mikoa mingine, August 15 ni Arusha.. Nitazisogea updates zote kila zinaponifikia!!
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN




Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.